Displaying posts 1
to 7
of 7.
Oya mtumzi mbona upatikani kita hiki@ebu lete habali nikusome.
Sema kija maisha vipi?
kaka kuna kastory fulani sijakunong'oneza! Datzzz ze y. U see toka mwezi wa saba kaka nlikua pending without commucation don't believe it? ZENI after 3month akaja kwa gia ya kutaka urafiki akijifanya ajuagi kilichototokeaga nyuma. How kamu kaka nkamwambia twawezaje kuwa marafiki tena wakawaida?? Akalilia nkaona isiwe nongwa! Urafiki tu! Sa bwankaka mawasiliano akazidisha mara apige asubuhi, mchana, jioni ah! How kamu bwana? Mawasiliano ya kwafuuuujo!! Namna hiyo wakati apo nyuma nampigia mara nne nne mfululizo bila kupokea wala kutaka kujua nlichokua nataka kumwambia?? Aya bana tukaendelea na ako kaurafiki ka fujo, urafikiiiii sa si unajua we used 2B....! Nkampima kama kajirekebisha nahivo anavowasiliana na mimi adi
nakumbuka zamaaaanii! Nkaona apana ngoja ntingishe kibiriti angalau kama kuna hata njiti yenye baruti nikoke sonyo! Nkamwambia usiwasiliane na mimi frequently labda mara 1 kwa miezi mi3 au mara3 au 4 kwa mwaka! Akataka kujua kama kuna ubaya wa yeye na mimi kuwasiliana kama zamani! Nkamwambia just ''I kanti endo'' na tokea siku hiyo hadi le No communication between us.
Sa bwanjaka kweli unadhani kwenye hicho kibiriti kuna hata njiti moja yenye baruti ambayo friksheni yake inaweza kuwasha sonyo???au ni ZZZzzzz??? Ndomana nimeweka SEPARATED ili nitoe nafasi za wazi za APPLICATION

Hi! How are you?
PLEASE DO CONTACT US VIA EMAIL ADDRES BELOW FOR MORE INFORMATIONS REGARDING JOB LIST AND CURRENT SALARY SCALES IN HOTEL OMNI.
([email protected])
THANKS
MRS ROSE GRAND
HOTEL MANAGER
Hellow friends, I am a friend from Tanzania, I am looking 4 friends all over the world. If are ready please contact me through
[email protected] OR [email protected]. I want 2 be your friend.
Please Sign In
or Join for Free
to view the rest of this profile.